Admission

Tayari kumletea mwanafunzi?

Ahsante kwa kuonyesha shauku ya kumleta mwanao Able Memorial. Ni shule nzuri yenye wastani mzuri wa kufaulu na yenye malezi bora kwa ajili ya mwanao.

+255 784 824 980‬ / ‪+255 715 286 670
Mchakato

01

Fika shuleni

Fika Abel Memorial Primary school, Bunju Mianzini kupata fomu ya kumwandkisha mwanafunzi

02

Jaza fomu

Jaza fomu na kisha irudishe kwa uongozi

03

Zijue taratibu za shule

Uongozi wa shule utakupa utaratibu wote wa nini kifanyike mpaka hatua ya kuanza kusoma

04

Mlete mwanafunzi!

Baada ya kukamilisha yote, mtot anaweza kuanza shule!